Thieves Eating LeavesA Poem by Alvin L. Kathembe
Tangazo! Tangazo!
Dr Ali: Daktari wa kienyeji Sasa yuko hapa, mwenye uwezo Wa kutatua shida zako Bila hata kumwelezea! Mmesikia kwa redio Kwa muda mrefu Kuhusu vitendo vyake Akiwa sehemu ya Western - Wezi kula nyasi! Atakusaidia shida zako Na magonjwa tofauti Akitumia dawa za kiafrika. Kushika wezi Kurudisha mapenzi Mambo ya boma Kisirani kwa biashara Nguvu za kiume T.B Kutibu magonjwa tofauti Kupendwa kazini, siasa… Piga simu! 072……… © 2012 Alvin L. Kathembe |
Stats
211 Views
Added on September 30, 2012 Last Updated on September 30, 2012 AuthorAlvin L. KathembeNairobi, KenyaAboutI write for the mind...and if I touch your heart while I'm at it, I'll take it. more..Writing
|